Thursday, 22 March 2018

W WAPO Social Media

Karaka ya Ndoa Jumamosi ya Tarehe 04-03-2017 na Askofu Sylvester Gamanywa

User Rating: 0 / 5

Star InactiveStar InactiveStar InactiveStar InactiveStar Inactive
 

Askofu Sylvester na Alhappiness Gamanywa, wanawatangazia wanandoa wote kuhudhuria semina ya karakana ya ndoa tarehe 4/3/2017 jumamosi hii kuanzia saa 4.00 asubuhi mpaka saa 8.00 alasiri kwenye ukumbi wa BCIC Mbezi Beach

Katika semina hii, Askofu Sylvester akishirikiana na mkewe Alhappiness watakuwa wakifundisha na kushuhudia wajibu wa mume na mke katika ndoa kwa mujibu wa Biblia, na kisha watazindua kitabu kipya kinachosumulia NDOA ILIYOUMBWA NA MUNGU kwa wanandoa

Kwenye karakana hiyo na ndoa, Askofu na mkewe watakuwa wanaadhimisha miaka 28 ya ndoa yao, huku wakishuhudia siri maalum za KUTEMBEA NA MUNGU KATIKA NDOA hata kama kuna changamoto nyingi.

Waalikwa kwenye karakana ya ndoa jumamosi hii ni wanandoa wote waliohudhuria semina ya jumamosi iliyopita, pamoja na wanandoa wote wenye shauku ya kutaka kuuona utukufu wa Mungu unavyoshuka na kuzinusuru na kuhifadhi ndoa zao.

Kila mwanandoa anaombwa kuthibitisha kwa kulike post hii, au kujisajili kwenye tovuti ya www.wapo.or.tz

LATEST VIDEOS

Newsletter

Subscribe to Wapo Mission International weekly Newsletter.

Do you need JESUS as your personal savior?
If YES then Click HERE
Please rate our website

Need To Reach Us?

Email:

info@wapo.or.tz

Phone:

|+255 766 777 126 |
|+255 713 649 865 |
|+255 712 249 724 |
Do you need JESUS? Click here

Who's Online

We have 26 guests and no members online